Thursday 27 August 2015

MMMMMMH HAYA SASA MAKUBWA


Williammalecela.com 
Hapa mjini Dar imethibitishwa kwamba kuna mwananchi aliyeukodi uwanja wa Jangwani kwa ajili ya matumizi ya kumfundishia Baiskeli Mkewe ila aliwahi Wiki Tatu kabla ya UKAWA, habari hizi zinasema mwananchi huyo aliyekataa kutajwa jina lake ameonekana akitabasamu sana leo alipohojiwa kwamba kwa nini asiwaachie UKAWA kutumia Uwanja huo Jumamosi, alisema imekuwa ndoto yake ya muda mrefu sana kumfundisha Baiskeli Mkewe wa ndoa ya Miaka 2 na amesema amesoma kwenye utabiri wa hali ya hewa kwamba Jumamosi kutakuwa Jua kidogo na upepo unaoweza kusaidia sana kwenye mafundisho yake ya Baiskeli kwa mkewe.
 
 
 
 

No comments: