Monday 15 February 2016

MMMMMMH YAMEKUWA HAYO? MAKUBWA BASI





"Naona mambo yanazidi kuvumishwakwamba nimerudiana na nay. Pls pls ninamaisha yangu na mwanaume ambaenampenda na kumuheshimu. ..sijarudiana na nay na haiwezi kutokea kabisaaa. ..Nay unandugu na marafiki wengi wa kuwaposti siku ya leo haikuwa muhimu uniposti mimi.nilishukuruMungu watu walishasahau kuhusu mimi naww but naona umetaka kuyafufua. Sipendi scandal na si maisha yangu kutafuta kiki zakijinga. KAZI YANGU NDIO INAYONITAMBULISHA ….. PLS  TUHESHIMIANE” SHAMSA FORD


 

No comments: