Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aakiwa ameng'ang'ania Microphone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akiwa ameng'ang'ania Microphone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma leo. hata hivyo Microphone hiyo iling'oka na polisi wakafaikiwa kumtoa nje
Microphone hiyo iling'oka na polisi wakafanikiwa kumtoa nje-
Mbunge wa Kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR_MAGEUZI, James Mbatia akisahangaa kuona mapambano kati ya wabunge wa CHADEMA na Polisi Bungeni
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akitolewa na Askari Polisi nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma
Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka Bungeni mjini Dododma baada ya kuamriwa kufanya hivyo na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai
Mbunge wa Mbeya Mjini akizuiwa na wabunge wa CHADEMA ili asiambane na polisi, Bungeni Mjini Dodoma jana
1 comment:
Wanafanya vitu bila kufikilia hao na kujichukulia posho then wanakam back,wanatudanganya tena tunawapa tena kura, yani hadi rahaaa.
Post a Comment