Monday 16 November 2015

NI JOB NDUGAI



Mheshimiwa Job Ndugai amechaguliwa na Wabunge 230 kati ya Wabunge 265 wa CCM ndani ya bunge jipya na kuwa ndiye Spika mpya kutokana na wingi wa Wabunge wa CCM Bungeni. Bunge zima lina Wabunge 357 huku CCM ikiwa na Wabunge 265 sawa na 73%, tofauti na UKAWA wenye 27% tu, kwa hiyo Ndugai anakuwa ndiye Spika mteule.


No comments: