Thursday 19 November 2015

NI KASSIM MAJALIWA, WAZIRI MKUU WA 11 WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

 
 


Rais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania Mh Dk John Pombe Magufuli Amemteua Mh  Kassim Majaliwa Kuwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania.Waziri Mkuu mteule Mh Kassim Majaliwa ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa..Akisoma Barua Kutoka Ikulu Mh Spika wa Bunge mh Nduagai amesema Baada ya Uteuzi huo  ni Bunge kulidhibitisha Jina la Mh Kuwa Rasmi Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano

No comments: