Wednesday, 31 July 2013
Tuesday, 30 July 2013
Monday, 29 July 2013
REST IN PEACE BROTHER EMIL ISSA KIPANDE, TEACHER
MAREHEMU EMIL ISSA KIPANDE
NI MIEZI SITA TU IMEPITA TOKA ALIPOFARIKI MAMA YETU MPENZI, TUMEPOTEZA TENA MPIGANAJI MWINGINE KATIKA FAMILIA. MWL. ISSA ALIKUWA KAMA MBADALA WA MAMA KWA KILA KITU, YEYE NDIYE KAKA AMBAYE UNAWEZA UKAKAA NAYE AKAKUSIKILIZA NA KUKUSHAURI LINALOWEZEKANA. TUMEPOTEZA KICHWA CHA KUTUSIMAMIA NA KUTUONGOZA KWA MENGI INGAWA KWA UKALI LAKINI ALIKUWA NA MSIMAMO UNAOELEWEKA. EEE MUNGU SIPENDI KUKUFURU LAKINI MBONA UNACHAGUA KWENYE UMUHIMU?? MBONA UNAGUSA SISI TUPOANGALIA ZAIDI?? KWANZA MAMA, SASA KAKA HUONI KWAMBA SISI WENGINE TUTASHINDWA KUENDELEA KUSIMAMA? BAADA YA MAMA YEYE NDIYE ALIKUWA ANGUKIO LANGU LA KWANZA, ALIKUWA MSIKIVU KWA KILA NILICHOKUWA NANUNG'UNIKIA KWAKE NA KUKIFANYIA KAZI. WAKATI MWINGINE NAHISI KAMA NAONEWA JAMANI. JEMBE LETU LIMEONDOKA, BABA MKUBWA MZEE KIPANDE ALIWAHI KUNIAMBIA KWENYE MSIBA AKASEMA "MWANANGU JASIRI AMEONDOKA, MKONGOJO WANGU UMEONDOKA, NITATEMBEAJE MIMI?" HAKUKOSEA KABISA, YEYE ALIKUWA KILA KITU KWETU NA KWA WAZEE WETU PIA. EEEE MWENYEZI MUNGU TUJALIE FARAJA SISI NA MUONGOZO WA UHAKIKA. YULE ULIYETUTAFUTIA KWANZA BAADA YA MAMA NAYE UMEMWITA MBELE ZAKO. TUONGOZE TUJUE WAPI KWA KUSHIKA MUNGU. MTIHANI ULIOTUPA NI MKUBWA SANA NA UPO NJE YA UWEZO WATU. NAKUOMBA SANA MUNGU UMPUNGUZIE ADHABU YA KABURI KAKA YANGU MPENZI EMIL ISSA KIPANDE AKAPATE KUIONJA PEPO YAKO, ILA SI KWA MAPENZI YANGU ILA KAMA UONAVYO WEWE SAWA. PUMZIKA KWA AMANI KAKA YANGU MPENZI.
REST IN PEACE BOTHER, LOVE YOU MUCH
MKE MKUBWA WA MAREHEMU, POLE SANA WIFI YANGU
BINTI MKUBWA WA MAREHEMU, STAMILI EMIL ISSA
BINTI MDOGO WA MAREHEMU, LATIFA EMIL ISSA
SIKUJUA HIZI PICHA NIMEPIGWA SAA NGAPI ILA NIMEKUJA TUMIWA TU,
NYUMBANI KIDODI TULIKOZIKA
REST INI PEACE KAKA YANGU MPENZI
Tuesday, 23 July 2013
OUR SUNDAY, SPORTS DAY
Home, tukijiandaa kutoka kwenda uwanjani, kama wachezaji kweli vileeee
Wacha weeee
Utantakaaa
kicheko.com
koh koh koh mmeona pozi hilo??? tafsiri wewe
Delicious
basi nichum nikiss mwaaaaaaa
kitu kimebadilika, kama mchezaji kweli vileee
walijidaije sasa kwa kupata ushindi wa mezani? wakati wanawasubiri timu pinzani si wakawa wanarukaruka uwanjani, mwenzetu asirudi nyumbani mgonjwa wa viungo, me kichekoooo
the one and only refferee, msijali me sichezi nachezesha tu, chezea mie wewe??
kikazi zaidi
mmmmmh timu ya wenzetu
wapendezaje sasa? halafu hapo wachezaji wawili tu wa mbele na wa nyuma waliosimama. huyo wa kati hapo mama yangu weeeeee.
Mchana mwema wapendwa wangu
MORNING DELIGHT FROM VICKIE MGERA "THE BRIDE TO BE"
WHAT A CUTEST THING
KOH KOH KOH
SHAVU SASA MWANAWANE, SHOSTI PUNGUZA SHELA ITAGOMA KUKAA
MMMMH HILI POZI MWENZENU SILIELEWAGI KABISAAAAA
WACHA WEEEE, KAMA JACK CHEN!!!
WACHA WEEEE
KWI KWI KWI SIJUI LA KILUGURU HILI
MWEEEE WE MGERA WEE LIPS HIZO
ITAFUTE HIYO LIPSTIC BAADA YA MASAA MAWILI
SEE YOU LATER GUYS
Monday, 22 July 2013
OUR SATURDAY, LADIES NIGHT OUT
KABLA YA KUJIREMBA, NA MAPOZI YETU YA KILUGURU, MIE SIMOOOOO
KABLA YA KUJIREMBA MWANANWANE
TABASAMU LA KULAZIMISHA HILI SIO BURE
UKINUNA UNAKUWA MZURI EEEEEE
MWEEEE, MENO YOTE NJE, SHOSTI SHAVU HILOO
REGINA ALIKUWAJE BUSY SASA??
KICHEKO HICHO MWANAKWETU, KESHO HUCHEKI TENA KWANI??
NAREMBWA JAMANI
MY HAIR STYLE
ME SIMO JAMANI WALA SIJAMPAKA MIMI
NAUGHT NAUGHT, MBAYAAAAAA
VICKIE THE BRIDE TO BE
MACHO HAYO MTOTO WA KIKE
KOH KOH KOH
SIPAKI TENA MIDUDE YENU, MNIACHE HIVI HIVI
MAPOZI MENGINE JAMANI KHAAAA
KICHEKO GANI, MNARAHA GANI NYIEEE
CHIBONGE KAWAZIBA MWEEEE
FROM LEFT VICKIE, WINNIE & REGINA
SHOSTITO ULIJIPENDELEAJE?? UMEENEA PEKE YAKO
SWEET LADIES
MWEEE, KESHO HAMCHEKI TENA???
HAPPY FACE
UMEONA HII LIPSTICK?? UTAITAFUTA BAADAYE USIIONE ILA USINIULIZE ILIKOENDA
I LOVE THIS PICTURE
MMMMMMH
KAZA BUTI TWENDE MWANAWANE
NAOMBA WEWEEEEEE
AFANDE KULA KULA
HAPPY PEOPLE
NATILIAJE HURUMA SASA, UTAFIKIRI NIMELAZIMISHWA
HUU UCHEZAJI SIJAWAHI UONA KWA KWELI
MAMBO IPO HAPA SASA
KIMEKOLEA MWANAKWETU, ISHAPAKIA
KOH KOH KOH
NANI KAMWAGA POMBE YANGUUU, REGINA MALIZIAAAA
5HRS LATER NO LIPSTICK, MMEPELEKA WAPI??
AU KUNA ANAYEIONA??
KUSHNEYYY MWANA WANE
WE HAVE A LOT OF FUN, THANKS LADIES
BARIDI VIBAYAAAAA
UNTIL NEXT TIME
Subscribe to:
Posts (Atom)