LEO NIMEAMKA KWENYE MOOD KIDOGO INGAWA NIMECHOKA KIMTINDO, SIJIELEWI KABISA MPAKA NAHISI NAUMWA ILA UKINIULIZA NINI SINA JIBU KWA KWELI.
SIELEWI UJUE WAKATI MWINGINE MOTOROLA BAPA KAMA HAIPO VILEEE
WE SUBIRI KWANZA NIFICHE KITAMBI ALAAAAH
HUKU SASA KUISHIWA POZI, HIVI HAKUNA SHULE YA MAPOZI??
VERY DECENT
MMMMH NO COMMENT
NIAMBIE WEWE, UNAONAJE??
KWI KWI KWI KWI MIE SIMOOO
TIME TO GO SIR, ZINATOSHA BOSS
AT WORK
MMMMMH
DELICIOUS!!!
FINITO
1 comment:
Umetokelezeaje mtoto wa kinyamwezi? ushukuru ulisha nyoosha hiyo toka jana, laasivyo mhhh misisemi, nisije onekana mtunduma bure.
Post a Comment