GUYS, NILIKUWA SO BUSY, MPAKA JUMAPILI NILIKUWA KAZINI NA SIKU ZOTE ILIKUWA NIMEWAHI KUTOKA BASI NI SAA MBILI USIKU. NIKIFIKA HOME NIMECHOKA VIBAYA NA NATAKIWA KUANDAA YA NYUMBANI. YAANI ULE WIMBO WA TX MOSHI WILLIAM ULITAKIWA UIMBWE, WANAWAKE TUMEUMBWA MATESOO MATESOO KUHANGAIKAAAA.
MY SATURDAY LOOK
TUNAIMBA WIMBO WA TAIFA KWANZA, 1,2,3 MUNGU IBARIKI TANZANIAAAAA
IBARIKIIII, MDOMO SASA
MMMMH CHIBONGE ME
TAIFA KWANZA NDUGU
UMEONA HERENI HAPO KATI??
UTAN'TAKAA
NAMBA TWENTY BABYYYY
NITAJIE WEWE MIMI SIMJUI. UMEONA KIBANIO CHA NYWELEE. NIMESEMA TAIFA KWANZA
ZOOM MKONONI UONE
UMEONAEEEEE,
MMMMMH
KWA KWELI HAYA MAPOZI YA KUIGA HAYA ONA SASA UTAFIKIRI NAANGUKA
THAT' MINE
SIELEWI UJUEEE
MAWAZO MAWAZOOOOOOOOO
MY GAME IS FAIR
FOR QUALIFIERS ONLY. UTAJIJUUUU
NAJUA KUREMUA EEEEE, MAZOEZI YAMEFANYA KAZI
MY SUNDAY LOOK
NILIKOSA MPIGA PICHA NDO MAANA ZIKO CHACHE
MBAYAAAA, ONA MINYUSI ILE
NAMEREMETAJE NA NJANOOOOO, HIVII KUNA LIPSTICK YA NJANO VILEEEE!!!
1 comment:
UMETOKELEZEAJE BINTI? WE NINOMA.
Post a Comment