HABARI WAPENDWA, LEO NI SIKU YA FURAHA SANA KWANGU, NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA HILI ALILONIFANYIA. SIJUI NAWEZA KUSEMA NINI KWAKE MAANA HII NI ZAIDI YA ZAWADI MAISHANI MWANGU. NIMELISUBIRI HILI KWA ZAIDI YA MIAKA MITANO SASA. NATAMANI KAMA MAMA YANGU ANGEKUWEPO HAI LEO ILI TUFURAHI PAMOJA MAANA TULIHANGAIKA WOTE KWA NJIA MOJA AU NYINGINE. MAMA, NAJUA UNGEKUWA MTU WA KWANZA KUJUA HILI NGAWA NAJUA UNAJUA NINI KINAENDELEA KWA SASA. MUNGU AMESIKIA KILE KILIO CHETU MKUBWA WANGU. NADHANI ASUBUHI HII INGEKUWA YA RAHA KWETU SOTE KWA HILI. REST IN PEACE MAMA YANGU. NAJUA MNATAMANI KUJUA NI NINI NAOMBA MUWE NA SUBIRA MAANA WAKATI UKIFIKA MTAJUA TU NA NAJUA MTAFURAHI PAMOJA NAMI. ASANTE KWA WOTE WALIOSHIRIKI PAMOJA NAMI KWENYE HILI NA WALIOCHANGIA MIMI KUFANIKIWA KWENYE HILI. NAWAPENDAA SANA. NAKUPENDA SANA MAMA YANGU NA NIMEKU MISS SANA MAMA. ASUBUHI NJEMA WAPENDWA. MWAAAAAAAAAH
No comments:
Post a Comment