JUMAMOSI YANGU NILIITUMIA KWA KWENDA SHAMBA SI UNAJUA KILIMO KWANZAAA?? NA ILIBIDI NIENDE KWA PIKIPIKI MAANA NDO USAFIRI WA HARAKA KWA KINA SIE PANGU PAKAVU TIA MCHUZI.
KUMBUKA PIKIPIKI ILIKUWA KWENYE SPIDI WAKATI NAPIGA HIZI PICHA, HIVYO USIJALI KUHUSU QUALITU
ONA HII ILIVYOCHEZA HADI RAHAAAA
KINACHONISHANGAZA HUKU, KUNA SEHEMU MAHINDI YAMESHAVUNWA, KWINGINE YANASUBIRI KUVUNWA NA KWINGINE NDO KWANZA YANABEBA
WALUGURU KWA KUPENDA KUKAA MILIMANI, SIWASOMI UJUE NYIE WATANI
WOOOOOOOOOOH
NILIPAPENDA TU HAPA, HICHO KIBANDA HAPO NI MGAHAWA, KUNA MTU ANAWEZA KUPAJUA HUKU??
DEREVA WANGU MR. NGOMA, NI DEREVA MZURI SANA AISEEE MAANA HIYO NJIA WAKATI MWINGINE UNATAMANI HATA USHUKE KWENYE PIKIPIK
VILIMA KAMA HIVI VYA KUTOSHA TU
NI KUPANDA NA KUSHUKA TU, NDO MAANA WAJAMAA WANAKUWA WAFUPI SANA, OOOPS SORRY
KICHWA KIKUBWA MPAKA KOFIA HAIKAI
KUNAMAENEO MAZURI SANA, PANAPENDEZA SANA
NNA UHAKIKA HII PICHA INGEKUWA NZURI SANA KAMA INGETULIA, JARIBU KUANGALIA BACK GROUND
WITH MY DEREVA NGOMA, MFUPIIII
KULIKUWA NA BARIDI LA KUTOSHA, YAANI HIVYO NILIVYOKOMELEA NA BADO LILIKUWA LINAPENYA MPAKA KWENYE UTUMBO
I LOOVE THIS PICTURE, RAHA YA KUKUTANA NA KIJUA CHA ASUBUHI
SAFARI IKAENDELEA
NILIPENDA HILI ENEO, WAKATI MWINGINE NITAWAONYESHA KILA KITU.
GOOD DAY
No comments:
Post a Comment