Wednesday 17 July 2013

WEKA MJI SAFI, NDO HIVI KWELI???

samahani kwa ubovu wa picha

Nimekutana na hii hali katikati ya mji, hivi kweli mnawaambia watu watupe taka kwenye maeneo husika yaani kwenye mapipa ya taka halafu wanakuja kukutana na hali hii?? hivi ni kweli nyie watu mko serious???

ona pipa limejaa mpaka limetapika hivi hamunoni au mnafanya makusudi??

mmmh ngoja ninyamaze mie nisije kabwa koo.

No comments: