Friday 30 October 2015

HONGERA SANA MAMA SAMIA HASSAN SULUHU


Mama Samia Hassan Suluhu mgombea mwenza wa CCM anaweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa Makamu wa Rais nchini Tanzania. Ametangazwa rasmi na Tume ya uchaguzi kushinda kiti hicho cha Makamu wa Rais wa Tanzania

HONGERA SANA MAMA SAMIA HASSAN SULUHU,,

No comments: