Tuesday, 9 July 2013

OOOOH HAPPY TUESDAY, HAPPY DAY, THANKS GOD ALMIGHTY

NAHISI MPIGA PICHA ALIKUWA BADO KALALA, SASA NDO NINI KUTOANA NUSU KICHWA?? SORRY MY MPIGAPICHA

UKIONA HIVI UJUE MAPOZI YA KUIGA, BADO KIDOGO MTU KUANGUKA HAPO

WACHA WEEEEE, ANDEZHAA

MY BEAUTIFUL MOTOROLA BAPA

KIPO KIPO LEOOOOO, WERA WERAAAAAAA

WATU TUNAKUFA KIZUNGU TAI SHINGONI YAANI HAPA NILIKUWA NASIKIA BARIDI VIBAYAAAA

I LOOVE THIS PICTURE

KAMA MTU VILEEE, MPOLEEEEE

NDO REMBU REMBU AU???

DELICIOUS, ME MZURI BWANA SHIDA TU HIZI

HAPPY DAY, AM VERY HAPPY TODAY. THANKS LORD

I FEEL LIKE CARTONISE MYSELF TODAY, CHECK THE POSE LIKE CARTOON




CARTOON CARTOON

GOOD DAY

VICKY ALIKUWA ANATOKA SIJUI HAKUTARAJIA KUKUTA WATU, ALIPIGAJE KELELE??

BAADA YAKUSHUKA KIDOGO AKAANZA KUKENUA

OOOOOH

HAPPY PEOPLE, HAPPY DAY, PLEASE DON'T ASK

LET'S GO SWEETIE TIME IS RUNNING

2 comments:

Anonymous said...

Sasa shosti hutaki kutuambia why uko na furaha leo? siumeseme Hii ni furaha yako tuje tufurahie pamoja? Embu tuambie nasi tufurahi, acha uchoyo.

Winnie Ngalaba said...

Wala usijali ndugu yangu utajua tu wakti ukifika, kuwa subra