Monday 1 October 2012

PC YANGU INA ACT CRAZY SOMETIMES

computer yangu inajitia wazimu isiokuwa nao hivyo inanifanya nishindwe kuweka mambo yangu on time au sijui mitandao yetu ya kibongooo, aaaaaaah!!
Hii ndo nywele yangu, natural no lye.

this is me, myself and I

Yaani katika vitu nilivyoshindwa ni pozi mnyamwezi wa watu, kuna mtu anajua mapozi huko anisaidie?


Check it out guys, KITU KIMESOGEA MBAYA HADI RAHA




i looooove my hair

Jamani huu mkono sio paja la Sauda kweli? samahani me simooo

pozi sasa kushney
How do i look? ukinitathmini toka juu mpaka chini ni kama Tshs. 8000 tu ukitoa handbag. blauzi 2000 kikundi mnadani, suruali 3000 na viatu 3000 pia soko kuu Morogoro. mwanamke nimetoka au?

Cha kuibia kimo mwaya,

Hivi ndivyo ninavyoonekana leo, nimeficha jinja langu mwaya maana kuchana hadi ung'ate meno





2 comments:

Anonymous said...

Mmmmh asante dada umekuza mbaya. hongera mwaya.

Anonymous said...

Safi sanaaaa