Tuesday 23 October 2012

TRYING TO BE NATURAL WITH TWENDE KILIONI

Mmmmmh!! cuttie me

Looking good with my twende kilioni

Trying the dying pose hahahahaha, just tired

madai yangu niko busy, wizi mtupu. Umeona twende kilioni hiyooo ?

Soooo kibonge but i love me, myself and I

Yaani hapa ndo sura ya baba kabisaaaa, yaani kufanana na baba kazi kweli wkweli. but  i love my dad and ninafurahi kwa kuwa nimefanana naye
Mum and Dad, I love them a lot. You are my everything.

Mum, Dad and Anna my baby sister on her birthday. katoto kanadeka hakaaaaa sijapata kuona, haya mwaya we wa mwisho una kila haki. wakati wako dada

5 comments:

Anonymous said...

kweli winnie wafanana na MZEE SAM

Anonymous said...

pande la keki hilo kibibi ?rip our mom

Anonymous said...

unaturali ndo haswa wakufaa na ulipendeza sana realy from my heart

Anonymous said...

picha juu ya blog umenoga

Anonymous said...

kadomo unanyonya nn kweli unanaturali unamata