Wednesday 24 October 2012

MWENZENU NDIO NAKULA SAA HIZI, KARIBUNI MWAYA

Yaani toka nimekula jana usiku ndo nakula saa hizi saa tisa na nusu halafu nazidi kuwa kibonge halafu eti chipsi mayai hapo hapo mezani kwangu. hata kuinuka naona kama nitachelewa. khaaaa hivi wote mnafanya kazi kama mimi?  
Yaani utafikiri ndo kwanza naona chakula oka nizaliwe, halafu unajua chakula gani basii?? zege

Doli doliiiiii

Tamu hiyoooo



Choka mbaya na siku ndo kwanza kama imeanza vileeee.

Najaribu mapozi jamani



No comments: