Friday 16 November 2012

ASUBUHI NJEMA WATU WANGU

Yaani asubuhi kwangu ni tatizo, hivi haiwezekani tukaanza kazi saa nne?

Uso ulivyovimba sasa utafikiri nimelala nalia


Pozi sasa kushney marijaa

Nimejikakamuaaaa

Yaani hapa ningeshusha hiyo mikono ilikuwa naimba wimbo wa Taifa. Unaona nilivyobana miguu?

Nipe pole asubuhi tu mguu umeshatoka, kuiga tu kuwa juu juu

Naona leo hadi tabasamu limeshindikana daaah

Kicheko.com  kama nina ka mwanya cha kiushkaji

2 comments:

Anonymous said...

Kwikwikwiii!!! chezeya pombe ww???
Wahi kulala ili uwahi kuamka

Anonymous said...

hanywi pombe huyu nnya ilimbana ndo mana kabana miguu,angalia usitoke kigimbi