Monday 26 November 2012

MY WEEKEND LOOK

SATURDAY, NATURAL ZAIDI

Nilikuwa receptionist kwa muda, unapendezaje ukikaa kwenye kazi za watu?? full kuchanganya maneno na namba

Did you see my jinja?? i love love

Nimetoa macho kama mjusi kabanwa na mlango sio kupenda nishaharibu hapo

Kama mwanamke vileeeee, hadi raha

SUNDAY LOOK, JINJA KULEEEE

Nikiwa njiani kuelekea

Uso mkavuu, mimacho sasa

Wacha wee pozi hiloo


Macho makavuuuu


Kwani umelazimishwa kupiga picha?

uso umenonaje sasa?

Tabasamu la kichokozi 

Baadaye nikabadilika kuwa hivi, nilikuwa naenda Dragonairs kwenye sherehe ya kuwaaga wageni waliokuja kikazi kiwandani kwetu

Kiss kiss

 Nazipenda sana hizi hereni

Wewe tulia basi japo kidogo mbona una haraka? sura mbayaaa

Sielewi sijui mpiga picha kalewa

Uongo mtupu kicheko gani hiki?

Somehow!!!

Naughty

Nimemalizaaaaaaaa, see ya

No comments: