Friday 23 November 2012

I MISS MY FELLOW TEAM MATES

SHIMMUTA TANGA 2009

HII NDIO ILIKUWA TIMU YA KWANZA YA NETBALL YA ALLIANCE ONE

KUNDI AMBALO SIWEZI KULISAHAU TULIKUWA KAMA TUMETOKA FAMILIA MOJA.

POZI LA KIZAMAAANIIII

HAPA NILIKUWA NAONGOZA MAZOEZI KABLA YA MECHI

I MISS YOU GUYS, ILA NITAPIGANIA TURUDI HIVI TENA

Hii ni experience ambayo siwezi kuisahau, tulivuta kamba tukatoka droo mara 2 ikamuumuriwa tuvute kwa mara ya mwisho na atakayevutwa anatolewa, tukafanikiwa kuvuta ila hii ilikuwa ndio mara yetu ya kwanza kuvuta kamba. kesho yake tulikuwa na mechi ya netbal na CDA Dodoma. tulifungwa 37-5 maana tuliamka wagonjwa wooote. nikaapa kuwa sitavuta tena kamba na hivi nilikuwa najifanya baunsa!!

Mbayaaaaa na ndio maana waliniweka mbele ili nitishie tunaovutana nao.

Mtanisamehe kwa quality ya picha

Unaweza ukakubali kweli kuwa huyu alipo hapo mbele ni mwanamke?? kuna mmoja aliwahi kumuonyesha mwanae kuwa huyu dada ndio tuliyekuwa nae kwenye zile picha za kamba, mtoto akamwambia tena mbele yangu mama mi nilidhani yule mwanaumeee.

Kocha Maganga akituhamasisha, ni mwalimu bora kati ya walimu tuliowahi kuwa nao

Wacha weeee, me simooo


SHIMMUTA ARUSHA 2010


My fellow

My family

Kwenye mashindano haya tuligoma kabisa kuvuta kamba, ilikuwa ni netball tu. hatukutaka shida ya kuumwa na kufungwa magoli kama mmesimama.

Nikitimiza wajibu wangu kama nilivyotumwa na kampuni, chezea mimi weweeeee

Siku hii nilikuwa na pilika pilka za kutosha nakumbuka huyo GK nyuma yangu ndo alikuwa na mimi na kunifanya nikae nje mpaka mashindano yanakwisha. hii ilikuwa mechi ya robo fainali

Nachechemaaaaaaa

Nikipatiwa huduma ya kwanza

GA wetu Jamila Sabu akiwajibika. ilikuwa combination nzuri sana uwanjani

MEI MOSI MOROGORO 2011

Kwenye mashindano haya nilikuwa busy na kazi kwa hiyo sikushiriki kivile sana, nilisimama kama kiongozi tu

Happy family


LIGI DARAJA LA PILI DODOMA 2010
Hapa tulicheza tulivyoweza tukaambulia nafasi ya nne na walikuwa wanapanda watatu tu, nitahakikisha tunarudi hapa tena.
LOVE YOU ALL GUYS AND MISS YOU MUCH

No comments: