Saturday 10 November 2012

WALTER CHILAMBO NDIYE MSHINDI BSS ALAMBA 50 ML

 

Walter Chilambo amefanikiwa kuchukua ushindi wa shindano la kusaka vipaji BSS kwa kuwabwaga wenzake watano ambapo nafasi ya pili imeenda kwa Salma yusufu na watatu ni Wababa mtuka ambapo wanandugu nsami nkwabi nafasi ya nne na Nshoma nkwabi nafasi ya tano.
 Washiriki wa EBSS 2012 ambao wamefanikiwa kuingia fainali wakiwa jukwaani usiku huu wakati kabla kuanza kwa fainali hizo.Milioni 50 za kitanzania zimeenda kwa Walter Chilambo.
wapambe wa Wababa walitulia baada ya wababa kutolewa kwenye round ya pili maana walikuwa kama wamekodishwa!!! Nawapongeza sana waandaaji Benchmark kwani wamechagua kwa haki haswaaaa.Me nilikuwa team Walter

No comments: