Monday 19 November 2012

BENADERTA KALEKWA'S KIPAIMARA

Jana binti ya marehemu binamu yangu alikuwa anapata kipaimara, hizi ni baadhi tu ya picha zake
Hii poda jamani hapana aaah utafikiri chinago?

Aunt yangu mzuri ila hii poda imeharibu shughuli

Haya wee mama yake hebu punguza makali ya poda yako

Hapo vip?

Hicho kichekoo, haya malizia kumuandaa mwanao hawai kanisani

Cute

Mii chichemi chemeni nyie

Nisaidieni tu jamani, mrembo mpaka nasikia hasira

Hapo je?

Pozi time

Nadhani naandaa model wa baadaye
Acheni my masihara jamani she is so cute

\
Hili pozi jipya kidogo au mi mshambaaa

Mmeona rangi hiyo? Lips je?


No comments

me mapozi tu jamani



Hapo chacha


Mugongo mugongooo

Mtoto hana adabu kabisa yaani kamzidi aunt yake kwa pozi, haya bwana
Mimi mgeni kabisa jamani, nisaidieni

Maashallah

Kasmile

Kanuna, umependa ipi??

Mmmmmmmmh!!!!

Benaderta Kalekwa mdogo

Benaderta Kalekwa Mkubwa, bibi huyoooo, aunt yangu mimi

Mmmmh, msimamizi sasa kazi kweli kweli

Mashavu yaleee


Mtanisamehe quality ya picture sio nzuri kwa kuwa picha zenyewe zilikuwa za kuibia



Mzee Ngalaba akiongea neno kanisani si unajua mzee mtu wa kanisa sana.



Tayari ameshakua kipa imara sijui atadakia simba au? kuanzia sasa yeye ndo Tanzania One na sio Kaseja


FASHION SHOW INAPOANZA KANISANI
Mjamaa akaona akamwage pozi madhabauni




Etiii kaiga pozi la aunt yake




K mkubwa na K mdogo, upo??


CIAO!!

2 comments:

Anonymous said...

sawa bwana ila........ mashavu yangu hayakuhusu na lingine donge tu huna lolote.

Anonymous said...

huyu mwenye mtenge katoke kijiji gani?