Wednesday 14 November 2012

HABARI ZENYU BANAAAA!!

Nywele sasa, kitimtim kibaya, ila nazipenda eeeeeeeeeh

Uso umechooka halafu ndio kwanza saa 12.30 asubuhi

Ulishawahi kuona mtu namka asubuhi amechoka? sasa ndio mimi na ndio sababu ya kupiga picha hizi leo.

Yaani nimeamka nimechoka mpaka najistukia natamani kama nisingetoka kuja kazini lakini aaah nitafanyaje bwana.

Ngoja nilazimishe tabasamu labda nitaonekana kawaida kidogo




No comments: