Wednesday 14 November 2012

MY SISTER, MY FRIEND, MY WORK MATE AND MY HOUSE MATE

Me mwanya tu huooo

Anaitwa Vicky Steven mrembo wa kiluguru

Pozi sasa, nahisi ni janga la taifa kama mimi

nimesema mimi ona utafikiri anachungulia kitundu cha funguo

Kikazi zaidi, hapa ndo ofisini kwake

Mmmmh!! no comments kwa kweli

Mashavu nayo sasa ila ndo yanayoongeza urembo wake mwaya,

Hili pozi la kuchungulia hiliii, sijui nani kamwambia ndo zuri ila anapendezea mwenyewe mwaya

Cheka kidogo nione wako mwanya  haiiiiii

Happy to have you around.

No comments: